WhatsApp
+255 767 485 129Makole, Dodoma

KUHUSU SISI

Historia ya imani, uaminifu na huduma

Zaidi ya miaka sitini ya kuhubiri Injili, kujenga waamini na kuanzisha kazi mpya.

MWANZO WETU

Safari iliyoanza mwaka 1959

PHAMT Jerusalem Makole ilianzishwa baada ya Mchungaji Aron James Nswebe kufika Dodoma kutoka Mbeya. Kupitia uongozi wa wachungaji waliofuata, usharika uliendelea kukua na kuwa msingi wa huduma nyingi.

Kanisa limechangia kuenea kwa Injili kupitia umisheni, kuanzisha matawi, kulea viongozi na kuifikia jamii.

Waasisi wa usharika

MWELEKEO WETU

Maono, Utume na Misingi

👁️

Maono

Kumfikia kila mtu kwa Injili ya Kristo.

📖

Utume

Kuhubiri, kufundisha na kulea waamini.

❤️

Upendo

Kuwahudumia watu kwa huruma na heshima.

🌍

Umisheni

Kuanzisha na kuimarisha kazi mpya.

UONGOZI

Uongozi Mkuu na Uongozi wa Usharika

Tunashukuru kwa watumishi wanaoliongoza Kanisa la PHAMT na usharika wetu kwa uaminifu.

Archbishop Nkumbu Nazareth Mwalyego
ASKOFU MKUU WA TATU WA PHAMT

Archbishop Nkumbu Nazareth Mwalyego

The Third Archbishop of the PHAMT Church.

Anaongoza Kanisa la PHAMT katika kuhubiri Injili, kujenga viongozi na kuimarisha huduma.

Mchungaji Jems Aliko Mwampona akiwa na mkewe
MCHUNGAJI KIONGOZI WA USHARIKA

Jems Aliko Mwampona

Akiwa pamoja na mkewe, anaongoza PHAMT Jerusalem Makole katika ibada, mafundisho, umisheni na huduma kwa jamii.

URITHI WA UONGOZI

Wachungaji walioliongoza Kanisa

Tunawaheshimu watumishi walioweka msingi na kuendeleza huduma.

01Mchungaji Aron James Nswebe
Mchungaji wa kwanza

Mchungaji Aron James Nswebe

Akiwa pamoja na Mama Mchungaji Berita Aron Nswebe, aliweka msingi wa usharika na umisheni.

02Askofu Aron Kasekwa
Mchungaji wa pili

Askofu Aron Kasekwa

Aliendeleza kazi ya huduma na ukuaji wa usharika.

03Mchungaji Asajile Mwandiga
Mchungaji wa tatu

Mchungaji Asajile Mwandiga

Aliimarisha waamini na ushirika wa kanisa.

04Mchungaji Amanyisye Lucas Mwakalonge
Mchungaji wa nne

Mchungaji Amanyisye Lucas Mwakalonge

Aliendeleza huduma na maandalizi ya kizazi kinachofuata.