WhatsApp
+255 767 485 129 · phamtjerusalemdodomatv@gmail.comMakole, Dodoma

IBADA · NENO · USHIRIKA

Karibu Tuabudu Pamoja

Tukue katika Neno la Mungu na kujenga ushirika wa kweli katika Kristo.

Jiunge NasiRatiba za Ibada

KILA MTOTO ANA KIPAWA

Kukuza Huduma za Watoto

Tunawalea watoto katika Neno la Mungu, tunakuza vipawa vyao na kuwaandaa kuwa viongozi wa kizazi kijacho.

Huduma ya Watoto

MAISHA MAPYA KATIKA KRISTO

Ubatizo wa Waongofu Wapya

Waamini wapya wakithibitisha imani yao baada ya kuokoka na kupokea mafundisho.

Huduma Zetu

URITHI WA UMISHENI

Waasisi wa Kazi ya Injili Kongwa

Chachu ya kuenea kwa kanisa na kuhubiri Habari Njema za Ufalme.

Soma Historia Yetu

PASAKA 2021

Uongozi, Ushirika na Huduma

Askofu Mwampona, Askofu Dkt. Nathaniel Kigwira, wazee wa kanisa na wakuu wa idara.

Fahamu Uongozi

SIFA NA KUABUDU

Tunamrudishia Mungu Sifa na Utukufu

Kwa nyimbo, shangwe na mioyo ya ibada, tunalitukuza Jina la Mungu na kutangaza matendo yake makuu.

Huduma ya Uimbaji
Tangu 1959Urithi wa Imani
Makole, DodomaKaribu Tuabudu
Ibada na UshirikaKila Kizazi
UmisheniInjili kwa Jamii

SISI NI NANI

Kanisa linalomjenga mtu mzima

Tangu mwaka 1959, tumekuwa mahali pa ibada, mafundisho, ushirika na huduma kwa jamii.

MaonoKumfikia kila mtu kwa Injili.UtumeKuhubiri, kufundisha na kuhudumia jamii.
Soma historia kamili →
Ibada kanisani

UJUMBE WA KARIBU

Karibu PHAMT Jerusalem Makole

Mchungaji Jems Aliko Mwampona akiwa na mkewe
MCHUNGAJI KIONGOZI

Jems Aliko Mwampona

Akiwa pamoja na mkewe

Tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu katika familia ya PHAMT Jerusalem Makole. Hapa ni mahali pa kumjua Mungu, kukua katika Neno lake, kujenga ushirika wa kweli na kutumia vipawa vyako kumtumikia Kristo na jamii.

Haijalishi unatoka wapi au unapitia nini, milango yetu iko wazi. Karibu tuabudu, tujifunze na kukua pamoja katika imani, upendo na tumaini.

“Karibu nyumbani—mahali ambapo kila mtu ana thamani na nafasi ya kuhudumu.”
Soma kuhusu uongozi na historia yetu →

HUDUMA ZETU

Kila kizazi kina nafasi ya kuhudumu

👧🏾

Watoto na Vijana

Kuwalea katika Neno na vipawa.

🎵

Sifa na Kuabudu

Kumwabudu Mungu kwa nyimbo.

🌍

Umisheni

Kupeleka Habari Njema.

🤝🏾

Huduma kwa Jamii

Kuonyesha upendo kwa matendo.

TUKO HAPA KWA AJILI YAKO

Wasiliana nasi

Makole, karibu na CBE, mkabala na Kituo cha Kimbinyiko, Dodoma.

Simu/WhatsApp: +255 767 485 129
Email: phamtjerusalemdodomatv@gmail.com

Tuma ujumbe